• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe kwa Watumishi |
Nzega District Council
Nzega District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • sheria
      • Nyuki
      • TEHAMA
  • Fulsa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Vivutio katika Kilimo
    • Vivutio vya Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Utamaduni na Michezo
    • Maji
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Mipango na Utawala
      • kamati ya uchumi kazi na mazingira
      • kamati ya Elimu afya na maji
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Madili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video za shughuli za ofisi
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
      • Elimu Msingi Kovid 19
        • Boma
        • kupaua
        • uwekaji wa rangi
      • Sekondari Picha Kovid 19
        • Boma
        • kupaua
        • Kuweka Rangi
      • Afya Picha Kovid 19
        • Boma
        • kupaua
        • uwekaji wa rangi

Idara ya Kilimo

  • VITENGO VYA IDARA YA KILIMO 



  • Mazao
  • Takwimu
  • Ugani
  • Umwagiliaji
  • Lishe
  • Bustani
  • Afisamimea
  • Zana za Kilimo
  • Ufuatiliaji na tathimini (M&E).
  • Ushirika
  • MAJUKUMU YA IDARA.
  • Kusimamia shughuli zote zinazohusu kilimo, umwagiliaji na ushirika ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega .
  • Kutafuta na kuandika taarifa za kilimo ndani Halmashauri ya wilaya ya Nzega .
  • Kutafuta na kuwafundisha wakulima teknolojia mpya za kilimo zinazovumbuliwa na wadau mbalimbali wa kilimo.
  • Kusimamia na kukusanya takwimu za uzalishaji chakula na hali ya chakula ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega .
  • Kuratibu mahitaji ya zana za kilimo na kutoa mafunzo na ushauri wa zana za kilimo kwa wakulima.
  • Kuratibu na kukagua miradi ya idara ya kilimo na kuandika taarifa za miradi ya kilimo.
  • Kushirikiana na wadau wengine wa kilimo kutoa na kusambaza teknolojia mpya za kilimo .
  • Kushirikiana na idara zingine ndani na nje ya Halmashauri kusambaza teknolojia mpya za kilimo zinawafikia wakulima .
  • Kudhibiti na kuratibu visumbufu vya mimea ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega.
  • Kufanya ufuatiliaji na utabiri wa mavuno
  • Kuandaa na kusimamia sera za matumizi bora ya rasilimali ya ardhi
  • Kuandikisha na kutoa leseni ya mbegu
  • Kusimamia uzalishaji wa mbegu
  • Kutoa ushauri na taaluma katika upembuzi kuhusu teknolojia mpya na sheria kuhusu uzalishaji mbegu rasmi na usio rasmi.
  • Kumshauri Mkurugenzi masuala yanayohusu taaluma ya kilimo

Kushirikiana na taasisi zinazojishughulisha na kilimo ili kuhakikisha maendeleo ya kilimo na utunzaji wa mazingira

 TAARIFA YA KILIMO WEB.docx


Matangazo

  • MATOKEO YA PSLE 2020/DARASA LA SABA December 18, 2020
  • MAJINA YA MAKARANI WALIOITWA KWENYE USAILI JIMBO LA NZEGA VIJIJINI December 18, 2020
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI DARAJA LA III July 08, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI DARAJA LA III July 08, 2022
  • Angalia yote

Habari mpya

  • ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA

    October 08, 2024
  • KAMATI YA FEDHA UTAWALA NA MIPANGO YAMPONGEZA MKURUGENZI KWA USIMAMIZI WA MIRADI

    September 05, 2024
  • UBORESHAJI WA LISHE UWE NA MATOKEO CHANYA YA KIELEIMU

    February 07, 2024
  • UBORESHAJI WA LISHE UWE NA MATOKEO CHANYA YA KIELEIMU

    February 07, 2024
  • Angalia yote

Video

HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA YAHAMISHIA SHUGHULI ZA KIOFISI NDALA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Matukio
  • Habari Mpya
  • Matangazo
  • Zabuni

Kurasa Zinazofanana

  • TAMISEMI
  • KARIBUNI NZEGA YETU
  • twitter
  • Instagram
  • Mkoa wa Tabora
  • Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana na sisi

    Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )

    Anuani ya Posta: S.L.P 4

    Telephone: 026 2692349

    Simu ya Kiganjani: 0765600994

    Barua pepe: md@nzegadc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa