• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe kwa Watumishi |
Nzega District Council
Nzega District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • sheria
      • Nyuki
      • TEHAMA
  • Fulsa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Vivutio katika Kilimo
    • Vivutio vya Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Utamaduni na Michezo
    • Maji
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Mipango na Utawala
      • kamati ya uchumi kazi na mazingira
      • kamati ya Elimu afya na maji
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Madili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video za shughuli za ofisi
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
      • Elimu Msingi Kovid 19
        • Boma
        • kupaua
        • uwekaji wa rangi
      • Sekondari Picha Kovid 19
        • Boma
        • kupaua
        • Kuweka Rangi
      • Afya Picha Kovid 19
        • Boma
        • kupaua
        • uwekaji wa rangi

HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA YAPITISHA MPANGO NA BAJETI YA TSHS. 50.9 BILIONI KWA MWAKA 2026/2027

Posted on: February 14th, 2026

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nzega leo limepitisha Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 yenye jumla ya Shilingi bilioni 50.9 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo na utoaji wa huduma kwa wananchi.

Bajeti hiyo inatarajiwa kugharamia mishahara ya watumishi, matumizi ya kawaida pamoja na miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali ikiwemo Elimu, Afya, Viwanda na Biashara pamoja na Utawala.

Kati ya fedha hizo, Shilingi bilioni 32.19 ni kwa ajili ya Mishahara (PE), Shilingi bilioni 1.89 kwa Matumizi ya Kawaida (OC), huku Shilingi bilioni 11.98 zikitengwa kwa Miradi ya Maendeleo kupitia ruzuku ya Serikali Kuu na Wahisani.

Aidha, Halmashauri imekadiria kukusanya Shilingi bilioni 4.87 kutoka katika vyanzo vya mapato ya ndani (own source), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha ukusanyaji wa mapato na kuongeza uwezo wa kifedha wa Halmashauri.

Kupitishwa kwa mpango na bajeti hiyo kunaonesha dhamira ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega kuendelea kusimamia maendeleo ya wananchi kwa kuzingatia uwazi, uwajibikaji na matumizi sahihi ya rasilimali za umma.

Matangazo

  • MATOKEO YA PSLE 2025/DARASA LA SABA-MKOA WA TABORA November 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA WAKUSANYA MAPATO (REVENUE COLLECTORS) January 26, 2026
  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE USAILI JIMBO LA BUKENE NA NZEGA VIJIJINI October 11, 2025
  • TANGAZO-WAMILIKI WA MAGARI September 30, 2025
  • Angalia yote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA YAPITISHA MPANGO NA BAJETI YA TSHS. 50.9 BILIONI KWA MWAKA 2026/2027

    February 14, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA YAANZA UTEKELEZAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KWA KAYA WANUFAIKA WA TASAF

    February 11, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA YAPOKEA POWERTILLER (TREKTA TEMBEZI) KUTOKA WIZARA YA KILIMO KUPITIA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI

    February 03, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA YAFANYA KIKAO MAALUMU CHA KUJADILI MASUALA YA KIUTENDAJI NA MAENDELEO

    January 29, 2026
  • Angalia yote

Video

UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA YAENDELEA KWA KASI
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Matukio
  • Habari Mpya
  • Matangazo
  • Zabuni

Kurasa Zinazofanana

  • TAMISEMI
  • KARIBUNI NZEGA YETU
  • twitter
  • Instagram
  • Mkoa wa Tabora
  • Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana na sisi

    Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )

    Anuani ya Posta: S.L.P 4

    Telephone: 026 2692349

    Simu ya Kiganjani: 0765600994

    Barua pepe: md@nzegadc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa