|
LENGO LA MIRADI
|
Lengo la jengo hili ni kutoa huduma ya upasuaji kwa akina mama wajawazito walioshindwa kujifungua kwa njia ya kawaida na kusababisha madhara kama vile Fistula (VVF) na ulemavu wa akili kwa watoto
|
UTEKELEZAJI
|
Ujenzi wa jengo la upasuaji ,Chumba cha kuhifadhia maiti, maabara,nyumba ya daktari na wodi ya mama na mtoto.
|
GHARAMA ZA MKATABA 400,000,000/= |
||
|
Idara ya Elimu Sekondari imetekeleza miradi yenye thamani ya kiasi cha TShs. 269,294,637.29
Miradi ya ujenzi inayotekelezwa na Idara ya Elimu Sekondari kwa mwaka 2017/2018 |
||||||
NA.
|
JINA LA SHULE
|
KIASI CHA FEDHA KILICHOTOLEWA AWAMU YA KWANZA
|
KIASI CHA FEDHA KILICHOTOLEWA AWAMU YA PILI
|
AINA YA JENGO
|
KAZI INAYOFANYIKA
|
HATUA ILIYOFIKIWA
|
1 |
MWAMALA
|
4,000,000
|
3,000,000
|
Matundu 4 ya vyoo vya wanafunzi
|
Kujenga, kupaua na kumalizia(Finishing)
|
Ujenzi umekamilika
|
2 |
MIRAMBO ITOBO
|
2,000,000
|
200,000
|
Matundu 2 ya vyoo vya Walimu
|
Kujenga, kupaua na kumalizia(Finishing)
|
Ujenzi umekamilika
|
3 |
ISAGENHE
|
2,000,000
|
540,000
|
Matundu 2 ya vyoo vya Walimu
|
Kujenga, kupaua na kumalizia(Finishing)
|
Ujenzi umekamilika
|
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa