Fursa kwa wamiliki wa magari!
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega inakaribisha maombi ya ukodishaji magari kwa kazi maalum kuanzia 21/10/2025 hadi 23/10/2025.
Aina za magari yanayohitajika ni pamoja na:
Toyota Harrier
Toyota Hilux Double Cabin
Nissan Patrol
Land Cruiser Hard Top / Prado / Station Wagon
Mwisho wa kutuma maombi: 12/10/2025.
Kama una gari linalokidhi vigezo, hii ni nafasi yako!
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa