Video hii inaonesha ziara ya ufuatiliaji na ukaguzi wa miradi ya elimu inayotekelezwa ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, ikiwemo ujenzi wa madarasa, majengo ya shule za awali za mfano na miundombinu mingine ya elimu.
Ziara hiyo imelenga kujiridhisha na utekelezaji wa miradi, ubora wa kazi pamoja na matumizi sahihi ya fedha za Serikali kwa manufaa ya jamii.
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Nzega awataka sungusungu katika wilaya ya Nzega Kuwatenga wale wote wanaoonesha kuwanyanyasa wanawake wajawazito na wanyonyeshao, ameyasema hayo katika kilele cha sherehe za kunyonyesha....
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa