Kutokana na gharama kuwa juu za ujenzi,Halmashauri ya wilaya ya Nzega iliwawezesha vijana mbalimbali kutoka kata zake kushiriki zoezi la kujifunza kufyatua na kujenga nyumba za gharama nafuu. Hapa vijana hawa wakiwa wamezungukwa na kundi la watu wengi ili kupata elimu katika banda letu katika maonesho ya nanenane tabora.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa