kIONGOZI WA mBIO ZA MWENGE ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nzega kwa Miradi Mizuri na yenye kuzingatia viwango. Aliyasema hayo alipokuwa akikagua Mradi wa Busondo Kituo cha Afya,OPD hospitali ya Wilaya na Hamza Azizi ujenzi wa Madarasa Mawili na Bwaro moja.
Zaidi ya shilingi milioni400 imetekeleza miradi hiyo. Alipongeza kwa kusema kuwa Atamweleza Rais kwa jinsi Nzega walivyofanya vizuri.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa