mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya nzega anawatangazia wananchi wote kuwa zoezi la uuzwaji wa viwanja vilivyopimwa na kuhakikiwa tayari vinapatikana katika maeneo ya itobo.
ni viwanja vya makazi shilingi 1,000/= kwa mita za mraba
viwanja kwa biashara sh 1,500/= kwa mita mraba
viwanda vidogo vidogo na Maghala sh 2,000/= kwa mita za mraba
fomu ya maombi ya kiwanja huuzwa kiasi cha shilingi 20,000/= tu.
Malipo yako waweza kufanyika kwa awamu tatu. Kumbuka kuwa gharama za viwanja ni pamoja na utayarishaji wa Hati za viwanja. mpaka sasa viwanja 485 vimepimwa.
Kwa waombaji waliokaribu fika katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Nzega. Lakini pia waweza pakua fomu katika tovuti yetu, www.nzegadc.go.tz
Kwa mawasiliano Zaidi piga namba 0784 864 828 mkurugenzi mtendaji, 0766 956 500 afisa Ardhi, 0787 019 061
Wekeza ITOBO kwakuwa ni eneo la linalofaa kwa kilimo cha mpunga bora.