Kikao cha lishe kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega ambapo agenda kubwa ilikuwa ni kujadili namna bora ya kuboresha kiwango cha lishe shuleni pamoja na kuwashirikisha wadau mbalimbali ili kuweza kutoa michango yao ya kielimu katika jamii kutoa elimu juu ya umuhimu wa lishe kwa watoto kuanzia umri wa miaka 0-18 lakini kwakumbusha wazazi namna ambavyo wanaweza kuwasaidia watoto wao waliopo shuleni kuweza kupata chakula na uji pindi wanapokuwa shuleni hali ambayo inaweza kusaidia kupanda kwa kiwango cha elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega pmaoja na kupunguza mdondoko wa wanafunzi kuacha shule kutokana na ukosefu wa ari hasa pindi wanakaa shuleni kuanzia asubuhi hadi jioni pasipo kupata Chakula.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa