Makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Wilaya ya Nzega kwenda Nzega TC
Hivi karibuni Naibu waziri Tamisemi Mhe. Kakunda alimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa halamashauri ya wilaya ya Nzega kwa kuonesha moyo wa kuitumikia serikali yake juu ya matumizi mazuri ya Force Account katika ujenzi wa Zahanati ya Busondo.
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa