Posted on: December 19th, 2017
kIONGOZI WA mBIO ZA MWENGE ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nzega kwa Miradi Mizuri na yenye kuzingatia viwango. Aliyasema hayo alipokuwa akikagua Mradi wa Busondo Kituo cha Afya,OPD hospitali ya ...
Posted on: May 1st, 2018
Moja ya wafanyakazi hodari katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega akipongezwa na wafanyakazi wenzake katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika viwanja vya Polisi Wilayani Nzega na kuhudhuriwa na ...
Posted on: August 10th, 2017
Hawa ni wananchi katika kijiji cha Mbooga walio katika mpango wa kunusuriwa kutoa umaskini wakiwa katika picha ya pamoja na moja ya shughuli walizofanya za upasuaji na ukusanyaji wa kokoto ili kuziuza...