Posted on: January 21st, 2026
Mafunzo ya kuwajengea uwezo Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Nzega na Halmashauri ya Wilaya ya Nzega yamehitimishwa leo kwa msisitizo mkubwa juu ya matumizi sahihi ya Teknolojia (TEHAMA) pamoja...
Posted on: January 20th, 2026
Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Nzega na Halmashauri ya Wilaya ya Nzega wameendelea na siku ya pili ya mafunzo ya kuwajengea uwezo, wakipata elimu kuhusu dhana ya miradi shirikishi pamoja na mchakat...
Posted on: January 19th, 2026
Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Mhe. Naitapwaki Tukai, amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Nzega na Halmashauri ya Wilaya ya Nzega kutumia mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayoendelea ili kubuni vyanzo ...