Posted on: July 30th, 2017
washiriki wa semina elekezi ya utendaji kazi na namna ya kutambua risk katika kila idara yafanyika kwa mafanikio makubwa. hapa baadhi ya wahusika kutoka idara ya Elimu wakijadili kitu....
Posted on: July 30th, 2017
Hawa ni baadhi ya watumishi kutoka idara tofauti mara baada ya kupata semina elekezi ya RISK MANAGEMENTtoka kwa mkaguzi wa ndani na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Nzega. ...
Posted on: July 30th, 2017
Hivi ndivyo anavyoonekana kuongea mama huyu mara baada ya kukutana na daktari katika kituo cha afya Bukene(aliyejifungakitambaa kichwani). tarehe 27/07/2017...