Posted on: August 8th, 2017
Dada huyu mara baada kujionea shughuli za ukoboaji wa karanga alivutiwa na hata kusukumwa kufanya kazi hii ya kukoboa japo kwa muda mfupi.
hizi ndizo shughuli katika banda letu ziliweza kuwa kivuti...
Posted on: August 8th, 2017
watu wengi walifika na kujifunza kupitia zana za kilimo na shughuli zinazofanywa na wakulima katika halmashauri ya wilaya ya Nzega...