Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri akiongea na wananchi katika sherehe za Meimosi leo. Aidha Mkuu wa MKoa alimwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kuandika taarifa kwa kushirikiana na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kwenda kwa Waziri mwenye Dhamana. "Ninakuagiza kukaa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi,andikeni taarifa na iletwe kwangu ili ni isaini na kuipeleka kwa waziri mwenye dhamana" ni maneno yaliyosemwa na kiongozi huyo kwenye sherehe hizo leo katika viwanja vya Polisi Nzega.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa