Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Tawala (M) Tabora Dkt. John Mboya, Muhandisi Haruna Maulid, Muhandisi Christephola Nichombe na Muhandisi Faustin Tarai waliofika kwenye Ofisi ya Mkuu wa mkoa Leo Novemba, 7 2023 kwa lengo la kutambulisha mradi wa Upembuzi yakinifu na Usanifu wa kina wa barabara ya Puge-Ziba- Choma Yenye urefu wa kilimita 102, unasimamiwa na kampuni ya NIB Plan Ltd.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa