1. Mafunzo kwa vitongoji,mila,dini,yatangulie mapema
2. Wananchi washirikishwe kwenye elimu ya anuani za makazi, liende katika ngazi zote.
3. Fedha zitatumika katika mradi na si posho(tuwe wabunifu) 28b zitatoka kulingana na ukubwa wa mkoa.
4. Halmashauri zitatenga fedha kutoka badget zao
5. Utekelezaji utumike kwa kuzingatia taratibu
6. Kamati ziundwe kusimamia utekelezaji
7. Tanroad na tarura kuzingatia sheria kuweka majina ya barabara
8. Zaweza kuwekwa kwenye nyumba kwa rangi
9. Taarifa ya kila wiki kutuma taarifa kwa mkuu wa mkoa
10. shirika la nyumba, tba, nh, na wakala wa nyumba zinakuwa na anuani za makazi kwa utaratibu uliowekwa.
Mwisho najua tukishirikiana vema tutafanikiwa na kukamilisha kwa haraka na mapema.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa