Elimu Sekondari inazo Shule ........Afisa Elimu wa Idara hii ni Mr. .............
Idara ya Elimu Sekondari imetekeleza miradi yenye thamani ya kiasi cha TShs. 269,294,637.29
Miradi ya ujenzi inayotekelezwa na Idara ya Elimu Sekondari kwa mwaka 2017/2018 |
||||||
NA.
|
JINA LA SHULE
|
KIASI CHA FEDHA KILICHOTOLEWA AWAMU YA KWANZA
|
KIASI CHA FEDHA KILICHOTOLEWA AWAMU YA PILI
|
AINA YA JENGO
|
KAZI INAYOFANYIKA
|
HATUA ILIYOFIKIWA
|
1 |
MWAMALA
|
4,000,000
|
3,000,000
|
Matundu 4 ya vyoo vya wanafunzi
|
Kujenga, kupaua na kumalizia(Finishing)
|
Ujenzi umekamilika
|
2 |
MIRAMBO ITOBO
|
2,000,000
|
200,000
|
Matundu 2 ya vyoo vya Walimu
|
Kujenga, kupaua na kumalizia(Finishing)
|
Ujenzi umekamilika
|
3 |
ISAGENHE
|
2,000,000
|
540,000
|
Matundu 2 ya vyoo vya Walimu
|
Kujenga, kupaua na kumalizia(Finishing)
|
Ujenzi umekamilika
|
4 |
BUKENE
|
4,200,000
|
2,828,900
|
Vyumba 2 vya madarasa
|
Upauaji wa vyumba 2 vyamadarasa
|
Upauaji haujakamilika
|
5 |
MWANGOYE
|
13,000,000
|
11,000,000
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya maabara na chumba 1 cha darasa
|
Kujenga,kupaua na kumalizia(Finishing)
|
Hatua ya ukamilishaji
|
6 |
HAMZA AZIZI ALLY
|
44,000,000
|
520,000
|
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa, Ofisi ya walimu na matundu 4 ya vyoo
|
Kujenga,kupaua na kumalizia(Finishing)
|
Ujenzi umekamilika
|
7 |
HAMZA AZIZI ALLY
|
141,600,000
|
0
|
Ujenzi wa bwalo la chakula, jiko, choo, bafu na shimo la maji taka
|
Kujenga,kupaua na kumalizia(Finishing)
|
Ujenzi umekamilika
|
8 |
HAMZA AZIZI ALLY
|
26,765,737.29
|
0
|
Ujenzi wa Maktaba
|
Kujenga,kupaua na kumalizia(Finishing)
|
Ujenzi haujaanza
|
9 |
HAMZA AZIZI ALLY
|
10,000,000
|
0
|
Ujenzi wa bweni
|
Kujenga,kupaua na kumalizia(Finishing)
|
Ujenzi uko hatua ya msingi
|
|
|
|
||||
10 |
HAMZA AZIZI ALLY
|
3,640,000
|
0
|
Utengenezaji wa viti na meza 70
|
Kutengeneza viti na meza 70 kwa ajili ya kidato cha 5.
|
Vimekamilika
|
JUMLA NDOGO |
251,205,737.29
|
18,088,900
|
|
|
|
|
JUMLA KUU |
269,294,637.29
|
|
|
|
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa