Sunday 28th, May 2023
@NZEGA HOSPITAL
Mkuu wa Mkoa Agrey Mwanri akiwa katika zoezi la ukaguzi wa jengo la Hospitali Halmashauri ya wilaya Ya nzega hivi karibuni. hapa anakagua Mbao zilizoagizwa na kamati ya manunuzi kama wamefuata kanunii za uagizaji vifaa na vifaa hivyo kama vina ubora utakiwao.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Mtaa wa Umbi)
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0784364828
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa