Wednesday 22nd, January 2025
@NZEGA DC
Mkuu wa Moa wa Tabora Agrey Mwanri akiongea na watumishi wa Serikali(maafisa Elimu Kata,na Watendaji wote wa Kata) katika ukumbi wa Tanganyika leo.Aidha kiongozi huyo alisisitiza kuwa hatataka kusikia tena kuwa mkoa wa Tabora unakuwa wa kwanza kwa Utoro Tanzania. hivyo basi aliwataka watendaji hao kushirikiana na wananchi kuhakikisha utoro unatoweka.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa