Saturday 21st, December 2024
@ukumbi wa Isike mwanakiyungi
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri walipokuwa wakisikiliza kwa Makini hoja zilizokuwa zikitolewa na Wajumbe juu ya Fursa za Uwekezaji katika mkoa wa Tabora. kwa umakini huo ni imani ya wana Nzega kuwa watakuwa wa Kwanza kuzitangaza Fursa hizo na kuwakarimu wale wote wanaohitaji kuwekeza katika halmashauri yetu.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa