Wednesday 22nd, January 2025
@HQ
Hizi ni Bicons zaidi ya 100 ambazo tayari zimeandaliwa katika kuhakikisha kuwa maeneo yote yaliyopimwa yanawekwa mipaka na kuuzwa kwa wananchi.
Halmashauri ina mkakati wa kuhakikisha kuwa inapima viwanja 4494, mpaka sasa vimepimwa 3800 ambao ni upimaji wa awali kwa njia ya "blocks".
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa