Halmashauri ya Wilaya ya Nzega,
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega inawatangazia wananchi na wawekezaji kuwa viwanja vilivyopimwa katika maeneo ya Nata na Itobo vinauzwa kwa utaratibu rasmi kupitia Mfumo wa TAUSI wa TAMISEMI.
Viwanja hivi vimepangwa kwa matumizi yafuatayo:
| Matumizi
|
Nata (Tsh)
|
Itobo (Tsh)
|
|---|---|---|
| Makazi
|
2,000 – 3,000
|
1,000 – 2,000
|
| Biashara
|
3,000
|
2,000 – 3,000
|
| Makazi + Biashara
|
2,000 – 3,300
|
1,500 – 2,300
|
| Viwanda Vidogo
|
3,500
|
3,500
|
| Vituo vya Mafuta
|
5,000
|
5,000
|
Maombi yote yanapaswa kufanywa kupitia Mfumo wa TAUSI kwa kutumia link hapa chini:
Bonyeza hapa kuomba au kutazama viwanja vinavyopatikana:
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na:
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
S.L.P 4, Nzega
Simu: 0659 119 998

Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Kata ya Utwigu kijiji cha Mwambaha Lubisu )
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0765600994
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa