IDARA YA ELIMU MSINGI
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega ni mmojawapo ya Halmashauri nane za mkoa wa Tabora.Halmashauri hii kwa mwaka 2016 ina jumla ya Shule za msingi 147,Shule 146 ni za Serikali zenye jumla ya wanafunzi 86,681 Wavulana 42948 na wasichana 43,733 Shule hizi zina jumla ya walimu 1640 wa kiume wakiwa 1041 wa kike 599.Wilaya ina jumla ya Kata 36. Pia Wilaya ina jumla ya Shule za Sekonadari 31 zote zikiwa ni Serikali.Chuo cha Ualimu kimoja ambacho ni Ndala. Chuo cha madini Lusu ambacho ni tawi la chuo cha madini cha Dodoma.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega inazo fursazifuatazo katika suala la Elimu.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Mtaa wa Umbi)
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0784364828
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa