Posted on: July 30th, 2017
Hivi ndivyo anavyoonekana kuongea mama huyu mara baada ya kukutana na daktari katika kituo cha afya Bukene(aliyejifungakitambaa kichwani). tarehe 27/07/2017...
Posted on: July 30th, 2017
Hawa ni wananchi katika kata ya Bukene wakisubiri huduma kuonana na Daktari katika kituo cha afya Bukeni siku ya tarehe 27/07/2017...
Posted on: July 30th, 2017
Mkuu wa wilaya Nzega akitoa hotuba mara baada ya kupokea gari la wagonjwa kutoka kwa mbunge wa wilaya ya nzega vijijini mheshimiwa Hamisi Kigwangala....