Ufugaji ni moja ya shughuli muhimu ya kiuchumi kwa wananchi wa wilaya ya Nzega.
2.0 Majukumu ya Idara ya Mifugo na Uvuvi
Kituo
|
Mahitaji
|
Waliopo
|
Upungufu
|
Ofisi ya Wilaya
|
12
|
9
|
3
|
Ofisi ya Kata
|
36
|
14
|
22
|
Ofisi ya Kijiji
|
158
|
–
|
158
|
Jumla
|
206
|
23
|
183
|
NB: Jinsi ME- 19 na KE- 4
Wilaya ina jumla ya ng’ombe 469,437 Mbuzi 208,829 Kondoo 48,603 Kuku 568,609 Ngurue 2,362 Punda 954, Mbwa 9,870 na Paka 2,153.
3.0 Malengo ya idara katika mwaka wa fedha 2016/2017
Kwa sasa hakuna mradi unaotekelezwa na iadara.
4.0 Fursa zilizopo.
Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Mtaa wa Umbi)
Anuani ya Posta: S.L.P 4
Telephone: 026 2692349
Simu ya Kiganjani: 0784364828
Barua pepe: md@nzegadc.go.tz
Hati miliki Halmashauri ya Wilaya ya Nzega @ 2017. Haki zote zimehifadhiwa